Saturday, 7 May 2016

NINI UMEKIONAI  TAFAUTI NA CHA MTU WAKO NA KWA WANAUME SEMA NI KIPI UMEZIDIWA KWA NA UYU JAMAAA\
Hi! Habari za muda na wakati kama huu? Dr Kilele hapa nina mambo mawili matatu ya kuzungumza, kwa mtazamo wako Je mwanaume shujaa, wa ukweli na robo yukoje? Je ana sifa gani?
Je mwanaume wa kweli ni mwenye mipesa hatari ya kukupeleka Dubai na Manini Manini? Si unajuaaa? Yule ukitaka shanga, basi mwaenda Dubai…ukitaka kiatu…ah mamaweee ndege hii hapa twen’zetu Hongkong?
Au kwako wewe mwanaume wa ukweli ni yule alievimbiana vimbiana? Ana mwili unapingili pingili wenyewe mwaitwa Six Pack sijui..yani ile mara ya KWANZA ulipomuona na MISULI YA HAJA uliwaza nini???Ulijua YEESS,Mwanaume si ndo huyu…Ulitamani kama Umuanze kumuongelesha…Kila Ulipomtazama ULILOANA na kutamani siku 1 Mshee Kitanda ili ile MISULI ikupe adhabu…
Au mwenzetu mwanaume shujaa ni yule majaaliwa, yani ana miguu mitatu japo mmoja ni wa mtoto, sio mwanaume ana kijipu katikati ya miguu?
Andika hapa kwenye comment, Je sifa za mwanaume SHUJAA kwako ni zipi?


JOSHUA MLAY
l Condom. Akiwa anafundisha, akawa kaivalisha kwenye kidole gumba jinsi inavyovaliwa. Mama wa waktu kafurahi mwenyewe, kajibebea kibox huyooo hadi home.
Fast forward mabusu busu na kushikana kushikana, baadae bonge moja la mechi, chaga mbili tatu
zimeshavunjwa hapo…wameloa majasho mama anaanza kumcheka mume. Mume leo nimekuweza ujue? Mume nini? Mama anaonyesha Bull imevalishwa kidoleni. Watu woyoooooo!
Sasa, kila siku nawahimiza kutumia BULL CONDOM kwa kila tendo, leo ningependa kuwapa somo kidogo la matumizi sahihi ya Condom za kiume. Maana unaweza kuwa nayo afu ndio ikawa kama hiyo story hapo juu. Fuata hatua hizi basi.
Hakikisha umeangalia muda wa matumizi kwenye pakti ya Bull Condom. Kama mda wake (expiry date) wa matumizi umekwisha basi haikufai.
Fungua kipakiti chenye kondomu wakati tu ukiwa tayari kuitumia. Bila hivyo yale mafuta mafuta maalum kwenye kondomu yatakauka. Unapofungua pakiti kuwa mwangalifu usiipasue, au kuitoboa wala kuiharibu kondom yenyewe. Ikipasuka itupilie mbali na uchukue nyingine (ndio maana tunakuwekea tatu kwenye pakti ya Jero…yaani Mia tano tu)
Bull Condom huwa zimesokotwa na kuwa kama duara. Wakati wa kuivaa, ile sehemu ya mafuta mafuta inapaswa kuwa nje. Hivyo basi ivae kwa kuikunjua kuanzia kwenye ncha (kichwa)cha uume. Minya sehemu ya chuchu ya kondomu kwa kutumia dole gumba na kidole chako cha kwanza ili kutoa hewa kutoka sehemu hiyo, ili manii yahifadhiwe mahali hapo pale yatakapotoka. Sasa Endelea kuishikilia kondom kwa mkono mmoja. Kwa kutumia mkono wa pili ikunjue hadi kufikia kwenye mavuzi yaani kwenye shina la uume. Kama mtumiaji hajatahiriwa anapaswa kuvuta lile govi la uume wake kabla ya kuvaa kondomu.
Bull Condom zina mafuta ya kutosha, usiongeze mafuta mengine yoyote. Baada ya kufanya mapenzi Bull condom inapaswa kuvuliwa kwa njia sahihi pia. Baada tu ya kufika kilele na kutoa manii, mwanaume anapaswa kuutoa uume wake kutoka ukeni, kabla haujalegea kabisa, kwani akichelewa huenda kondom ikatumbukia ukeni mwa mwanamke.
Shika Bull Condom shinani mwa uume na kuivua taratibu pasi na manii kumwagika. Unaweza kuifunga kondom kwenye karatasi na kuitupa kwenye choo cha shimo.  Usitupe kondom kwenye choo cha kupiga maji kwani huenda ikatatiza utendaji kazi wa choo hicho. Usitupe mahali ambapo watoto wataweza kuifikia. Tumia kondom nyingine kwa kila tendo jengine la kujamiana. Tumia Bull Condom kila wakati unapofanya mapenzi.
Wasalaam
JOSHUA MLAY