Ni siku nyingine
tena Karibu kwenye blogger JOSH NEWS yangu tembelea mwanzo mpaka mwishi wa
simulizii hii. Ambayo itakuwa ina toa toleo lake kila wikii siku ya ijumaa
Mjomba kataka tena
1.Mjomba sehemu yakwanza
Asubui na mapema mjomba kaamka kafanya majukumu ya hapa na
pale nyumbani na kuakikisha kaacha pesa
ya matumizi kwa ajiliya wajomba zake wakitoka shule wapate chakula. Mjomba
alijianda kwenda kwenye mizunguko yake ya kila siku ili apate kidogo cha
kuendesha wajomba zake.
Mjomba ni mmiliki wa duka la vipodozi na daladala moja inayo
fanya ruti zake makumbusho/tegeta kwaiyo mjomba huwa anaakikisha kila sku vitu
vyake hua vinaenda sawa na kukurudi nyumbani salamaa muda maalumu wa mjomba
kurudi nyumbani ni saa kumi na nusu na ndo muda ambao binti zake amao ni watoto
wa dada ake huwa wanarudi nyumbani kwaiyo mjomba ukaa kijiweni kidogo ili
akifika nyumbani akute chakula tayari,
Apo kijiweni mjomba anapo kaa uwa anakuta tana na vituko
vingi sana ila huwa anajifanya yeye apendi story za kitoto uku akitamani ajuwe
zaidi . kunakijana mmoja anaitwa ally yeye huwa anajisifia sana kuwa ana mtoto
mkali sana na akuna alie nae pale kijiweni na akijinadi kuwa mtoto uwa anamambo
mazuriii sana,mjomba alijitaidi sana kudadisi Ally ili apate kujuwa mambo
mazuri ni yapi…………………….usikoseee SEHEMU YA PILI ya fumanizi ya mjomba..darswgs4real-tz