Friday, 22 April 2016


Hapi kukomesha ufisadi Kinondoni

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi, ameahidi kuvaa viatu vya mtangulizi wake, Paul Makonda kuhakikisha ufisadi unakuwa historia wilayani kwake. Alisema hayo jana jijini hapa baada ya kuapishwa kuwa Mkuu wa wilaya hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa na Makonda aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
0 Comments